Nchi ya uingereza imepiga marufuku kampuni ya Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo.
Mwezi January Uingereza iliipa Huawei tenda ya kuweka mitambo ya kawaida au non core ya 5G.
Mwezi wa 5 Marekani iliiwekea vikwazo vipya kampuni ya Huawei vitakavyoiondolea kampuni hiyo uwezo wa kupata au kuzalisha mitambo ya teknolojia ya 5G.
Uingereza imesema vikwazo vipya vya Marekani vitaiathiri kwa kiwango kikubwa Huawei isiweze kua na uwezo wa kutoa huduma.
Tags
BREAKING NEWS