"Mwili wa Mzee Mkapa utazikwa kijijini kwao Lupaso, Masasi mkoani Mtwara Jumatano ya wiki ijayo July 29, 2020 saa nane mchana. Mwili utasafirishwa kwa Ndege Jumanne July 28 mchana baada ya kuagwa Dar es Salaam, utatua Uwanja wa Nachingwea, Lindi kisha kuelekea Masasi." - WAZIRI MKUU MAJALIWA