Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP- Lazaro Mambosasa, amethibitisha kwamba ni kweli Polisi wanaye Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
"Tunaye sisi Polisi, tumemkamata kwa Mahojiano ya Uchochezi walioutoa kwenye kitu walichokiita Waraka. Tunamhoji kutokana na ule Waraka, Yeye kakubali kwamba ni wake na Taasisi yake lakini Viongozi wote wa Taasisi wameukana kupitia Vituo mbalimbali vya radio na TV. Hivyo tunazidi kumshikilia. Amesema Mambosasa.
Hivi Karibuni, Shura ya Maimamu Tanzania, ilitoa Waraka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

Tags
BREAKING NEWS