"Miundo mbinu ya soka ni mibovu, viongozi hawajaelimika, hajui kitu kuhusu soka ni zero, TFF inaibeba Simba, marefa wanaionea YANGA SC. Sina furaha na sioni sababu ya kubaki hapa"
"Kwanza nimechoka kukaa hii nchi, sina DSTV, sina gari, walinipangishia nyumba mbaya. Bora hata mniache niondoke tu. Kwa mwendo huu Yanga haiwezi kushinda chochote. Inakera" Luc Eymael.
"Mashabiki walikuwa wanamzomea Yikpe nimtoe. Mashabiki wa Yanga ni mambumbu, wanapiga makelele tu na kuzomea kama mbwa au nyani lakini hawajui mpira" Luc Eymael
"Na kama nisipobadilishiwa hawa viongozi nilionao katika benchi la ufundi [Wakiwemo Mkwasa, mbuna, manyika..] ni bora nikaondoka Yanga SC" - Maneno ya kocha mkuu wa Yanga, baada ya mchezo wa mwisho dhidi ya Lipuli FC.

Tags
SPORTS