TUNDU LISU AWATIBUA POLISI

Mwanasheria Tundu Lissu amewasili nchini baada ya kuwa ughaibuni kwa matibabu kwa zaidi ya miaka miwili, baada ya kunusurika kifo kwa shambulio la risasi akiwa Dodoma. Pichani, Lissu akipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form