PESA ZA TAKUKURU ZAWATOKEA PUANI

TAKUKURU imewasimamisha kazi watumishi tisa waliohusika katika usimamizi na ujenzi wa majengo saba ya ofisi za taasisi hiyo ambayo hayaendani na gharama za ujenzi. Majengo hayo yamejengwa kwa jumla ya TZS 1 bilioni, sawa na wastani wa TZS 143 milioni kwa kila nyumba.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form