MUSEVEN ATANGAZWA MGOMBEA URAIS

Chama tawala nchini UGANDA kumemtangaza Rais Yoweri Museveni kuwa mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Januari 2021. Rais huyo aliyeingia madarakani mwaka 1986 anawania kuliongoza taifa hilo la Afrika Mashariki kwa muhula wa sita.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form