MSIGWA ASHINDA KURA ZA MAONI IRINGA

Mchungaji Peter Msigwa ameibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kuwania kugombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini baada ya kupata kura 117 kati ya kura 131 zilizopigwa. Andrewa Palaiga ameshika nafasi ya pili baada ya kupata kura 16.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form