JENERALI ULIMWENGUNI ATOA SOMO

“Napata mafunzo katika yale yanayotutokea. Kusanya mabilioni lakini ukifa huondoki na hata senti. Kusanya suti ghali ila hutaenda nazo kaburini. Endesha Bugatti au Lamborghini lakini mwili wako waweza kubebwa na mkokoteni. Wekeza katika ubinadamu na upendo.” - Jenerali Ulimwengu


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form