SIKU YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWA NELSON MANDELA


Leo ni Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela ambayo huadhimishwa kila mwaka Julai 18 ikiwa pia ni kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa kwake. Siku hii ilirasimishwa na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2009 kutambua mchango wa kiongozi hiyo & kuhamasisha watu kuiga mfano wake.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form