RAIS MAGUFULI AFANYA UTENGUZI

Rais Magufuli amefanya mabadiliko ya uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwa kumteua Mhandisi Marwa Mwita Rubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe badala ya Jumanne Fika ambaye ataendelea kuwepo katika Ofisi ya Rais.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form