MTOTO WA LUMUMBA AJITOKEZA KUDAE JINO LA BABA YAKE

Juliana Lumumba, mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa DR Congo, Patrice Lumumba ameandika barua kwenda Ubelgiji akitaka nchi hiyo irejeshe jino la baba yake aliyeuawa mwaka 1961. Lumumba alikuwa na mchango mkubwa wa kuibadili DRC kutoka kuwa koloni hadi kuwa Jamhuri huru.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form