Mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa umezikwa nyumbani kwake katika Kijiji cha Lupaso, mkoani Mtwara. Rais Mkapa alizaliwa mwaka 1938 na alifariki dunia usiku wa kuamkia Julai 24, 2020 kutokana na tatizo la mshtuko wa moyo. Alikuwa Rais wa Tanzania kuanzia 1995 hadi 2005
Tags
BREAKING NEWS