KENYATA AMFUTA MACHOZI MAGUFULI

Rais Kenyatta anemtumia salamu za rambirambi Rais Magufuli na Familia ya Mkapa kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Mkapa “nawapa pole Watanzania wote na Familia ya Mkapa kwa kuondokewa na mpendwa wenu, Mkapa alikuwa Kiongozi bora aliyesimama kidete kuiungansha Afrika Mashariki”


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form