MGOMBEA KITI CHA URAIS ZANZIBAR AWATOLEA UVIVU WAPINZANI

"Ukweli  ni kwamba wajumbe wa Zanzibar waliopiga kura ni 68. Kura walizopata wenzangu jumla ni 35. Sasa kutoka 68 kuna kura 33 za Zanzibar zilizokuja kwangu, na hiyo ni kwa kudhania hao wenzangu hawajapata kura hata moja toka Bara, jambo ambalo si sahihi." "Mimi nimekuwa Mbunge katika Jimbo la Kwahani Zanzibar kwa kipindi cha miaka 15. Miaka 15 ni mingi, na kusema kwamba mtu sifahamiki ilikuwa si sahihi." - Mgombea Urais Zanzibar kupitia CCM, - Dkt Hussein Mwinyi.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form