Rais wa Ugnda Yower Museveni amethibitisha kugomea tena kwa muhongo wa nne tangu aanze kuwa Rais wa Uganda.
Kiongozi huyo aliyeanza kuwa Rais wa Uganda mwaka 1986 na kuwa Rais wa Nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 30, anatarajiwa kugombea katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika 2021 nchini humo.
Museveni aliiongoza Uganda kwa miaka kumi bila uchaguzi hadi mwaka 1996, baada ya kubadili katiba iliyomtaka Rais ahudumu kwa mihula miwili ya miaka mitano mitano.
Katiba hiyo pia ilibadilishwa mwaka 2005 na Rais Museven aliendelea kubaki madarakani. Pia katiba ilitaka mtu anayegombea Urais asiwe na umri chini ya miaka 35 au zaidi ya miaka 75, kipengele ambacho kilibadilishwa ili kumruhusu Museveni aendelee kuwa Rais.
Tags
BREAKING NEWS