"Fomu zetu za kugombea Urais tutachukulia hapa, ila mnaweza mkaamua msichukue mseme Magufuli amepita ili fedha hizo zifanyie kazi nyingine."- Rais Dkt.JOHN POMBE MAGUFULI,akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa kwenye uzinduzi wa jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)