Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Muheza, Tanga kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM)
Balozi Adad Rajab: 577
Hamis Mwinjuma (Mwana FA):
296 Bomboka Hassan: 49
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Kaliua, Tabora kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Prof. Juma Kapuya: 217
Aloyce Kwezi: 209
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kwa watia nia wa
Chama cha Mapinduzi (CCM):
Hamisi
Taletale: 318
Omari
Mgumba: 242
Kibena Kingo: 40
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Dodoma Mjini kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Anthony Mavunde: 904
Mussa Luhamo: 111
Robert
Mhitani: 29
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Ndanda, Mtwara kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Oscar Ng’itu: 250
Faraja Nandala: 154
Muhaji Hakimu: 73
Cecil mwambe: 33
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Kahama Mjini kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Jumanne
Kishimba:234
Benjamini Ngaiwa: 181
James Lembeli: 54
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Simanjiro, Manyara kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Chistopher Ole Sendeka: 305
Kiria: 47
James Ole Milya: 15
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Msalala, Shinyanga kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Idd Kassim: 327
Ezekiel Maige: 118
Khatib Mgeja: 75
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Monduli, Arusha kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Fredrick Lowassa: 244
Julius Kalanga: 162
Wilson Lengima: 149
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Tanga Mjini kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Ummy Mwalimu: 783
Omary Ayub: 41
Juma Kimwanga: 33
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Hai, Kilimanjaro kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Sasisha Mafue: 124
Fuya Kimbita: 85
Aboubakari Ndosa: 48
Matokeo
ya kura za maoni katika Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kwa watia nia wa Chama cha
Mapinduzi (CCM):
Furaha Dominic: 101
Angela Kizigha: 85
Askofu Josephat Gwajima: 79
Tags
UCHAGUZI