Klabu ya Yanga sc iko mbioni kumteua, Cedric Kaze kuwa kocha mkuu mpya baada ya kusitisha mkataba na kocha Krmpotic. "Tumefanya nae mazungumzo na sasa tupo kwenye hatua nzuri, Kaze ndiye chaguo la klabu. Muda wowote atajiunga nasi endapo hakuna kitakachoharibika" Hersi Said
Tags
SPORTS