TETESI ZA USAJILI LIGI KUU ENGLAND

 Manchester United imefanikiwa kunasa saini ya beki wa kushoto Alex Telles kutoka FC Porto kwa ada ya Euro Milioni 15. Telles mwenye umri wa miaka 27 amesaini mkataba wa miaka minne huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form