Shirikisho la Soka nchini (TFF) limetambulisha jezi mpya zitakazotumiwa na Taifa Stars ambapo katikati ni jezi ya nyumbani, kulia ni jezi ya ugenini na kushoto ni jezi namba tatu. Oktoba 11, 2020 Tanzania itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi, jijini Dar es Salaam.
Tags
SPORTS