Kamishina Jenerali wa jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, John Masunga ametoa rai kwa wamiliki wa shule hususan za bweni hapa nchini, kuzikagua na kufanya marekebisho ya mifumo mbalimbali ikiwemo ya umeme ili kuepusha majanga ya moto ambayo yametokea maeneo mbalimbali nchini.
Tags
BREAKING NEWS