WANANCHI WILAYANI NJOMBE WAJITOLEA KUJENGA KITUO CHA AFYA

Wananchi wa kata ya Mtwango katika halmashauri ya wilaya ya Njombe leo Oktoba 12,2020 wameshiriki shughuli ya maendeleo ya ujenzi wa wa kituo cha afya cha kata hiyo ambacho kitakuwa na jumla ya majengo 10 mpaka kitakapokamilika wakianza na majengo nane .


"Sambamba na shilingi milioni 500 inayokuja hapa (Mtwango), kuna fedha nyingine shilingi million 800 ambazo zimetolewa na serikali, tunajenga zahanati 10 ambazo na zenyewe ujenzi unaendelea" Ally Juma, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. 



"Tumekuja hapa kuanza ujenzi wa kituo cha afya kata ya Mtwango ikiwa ni maelekezo ya serikali katika kusogeza huduma kwa wananchi, Shilingi Milioni 500 tumezileta hapa kwajili ya utekelezaji wa mradi huu ambao tunakwenda kujenga kituo cha afya cha Kisasa" Ally Juma, DED Njombe DC











Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form