CORONA YAINGIZA WATU MILIONI 100 KATIKA UMASIKINI

Benki ya Dunia hivi imetoa ripoti ikionesha kuwa maambukizi ya COVID-19 yamesababisha watu Milioni 100 kuingia katika hali ya umaskini, huku Afrika kusini mwa Sahara ikiwa ni eneo linaloathiriwa vibaya zaidi.

Ripoti hiyo imesema maambukizi hayo na janga la nzige vimesababisha kupungua kwa uzalishaji wa mazao ya kilimo na ukosefu wa ajira.

Inakadiriwa kuwa mwaka huu, sekta ya kilimo ya Afrika Mashariki imepata hasara ya Tsh. Bilioni 8.5 hadi Tsh. Bilioni 18.1.

Katika zaidi muongo mmoja uliopita, idadi ya watu wanaoishi katika hali ya umaskini imekuwa ikupungua kutoka watu bilioni 1.9 ya mwaka 1990 hadi milioni 689 ya mwaka 2017. Lakini kutokana na athari za virusi vya COVID-19, idadi hiyo imeongezeka kwa mara ya kwanza.

Benki ya Dunia imesema kusini mwa Sahara inakabiliwa na ukuaji hafivu wa uchumi kwa mara ya kwanza katika miaka 25 iliyopita, na mwaka huu uchumi wa eneo hilo utapungua kwa asilimia 2.1 hadi 5.1, huku kiwango cha uzalishaji wa mazao ya kilimo kikipungua kwa asilimia 2.6 Benki ya Dunia hivi imetoa ripoti ikionesha kuwa maambukizi ya COVID-19 yamesababisha watu Milioni 100 kuingia katika hali ya umaskini, huku Afrika kusini mwa Sahara ikiwa ni eneo linaloathiriwa vibaya zaidi.

Ripoti hiyo imesema maambukizi hayo na janga la nzige vimesababisha kupungua kwa uzalishaji wa mazao ya kilimo na ukosefu wa ajira.

Inakadiriwa kuwa mwaka huu, sekta ya kilimo ya Afrika Mashariki imepata hasara ya Tsh. Bilioni 8.5 hadi Tsh. Bilioni 18.1.

Katika zaidi muongo mmoja uliopita, idadi ya watu wanaoishi katika hali ya umaskini imekuwa ikupungua kutoka watu bilioni 1.9 ya mwaka 1990 hadi milioni 689 ya mwaka 2017. Lakini kutokana na athari za virusi vya COVID-19, idadi hiyo imeongezeka kwa mara ya kwanza.

Benki ya Dunia imesema kusini mwa Sahara inakabiliwa na ukuaji hafivu wa uchumi kwa mara ya kwanza katika miaka 25 iliyopita, na mwaka huu uchumi wa eneo hilo utapungua kwa asilimia 2.1 hadi 5.1, huku kiwango cha uzalishaji wa mazao ya kilimo kikipungua kwa asilimia 2.6 hadi 7.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form