"Tunahitaji Uchaguzi wa haki na huru sisi Kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi hatupo kwa ajili ya kuvuruga amani katika Uchaguzi huu Tutahakikisha Uchaguzi
"Tukishakamilisha mchakato wa Uchaguzi tunatoa maelekezo kwa wasimaizi wa Uchaguzi kutokuwaomba tena vitambulisho mawakala wa Uchaguzi katika vituo vya kupigia Kura" - Dk. Wilson Mahera Mkurugenzi Mkuu wa NEC akiwa Musoma, Mara.
Tags
UCHAGUZI