Klabu ya Everton imethibitisha imekamilisha sajili wa beki, Ben Godfrey kutoka klabu ya Norwich City kwa ada ya Pauni Milioni 20. Godfrey amesaini mkataba wa miaka mitano hadi 2025.
Tags
SPORTS