Ratiba ya kampeni za mgombea urais wa CCM Dkt. John Magufuli katika mkoa wa Dar es Salaam kuanzia kesho Oktoba 12,hadi 14, 2020. Mbali na kampeni hizo za mgombea huyo, Oktoba 13, 2020 Rais John Magufuli atawaongoza Watanzania kupokea gawio la zaidi ya bilioni 100 kutoka Barrick Gold.
Tags
UCHAGUZI