“Leo ni Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike, tunamshukuru Mungu na kuwapongeza Wazazi kwa nafasi yao, Serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya kumfanya Mtoto wa kike Nchini aendelee kutimiza ndoto zake ikiwemo kuenzi amani, kuwapatia elimu, afya na mazingira bora”- Dr. Abbas
Tags
BREAKING NEWS