Watu 18 wamefariki Dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa Nchini Thailand baada ya Basi ambalo lilikuwa limebeba Watu waliokuwa wanaenda kwenye sherehe ya Dini, kuligonga Treni na kisha Basi na Treni vyote vikapinduka “kulikuwa na mvua Dereva wa Basi akafeli kuona mbele”
Tags
BREAKING NEWS