TAKUKURU mkoa wa Geita imefanikiwa kumrejeshea kiasi cha Sh. Mil tano na laki tano, kwa Mwalimu mstaafu Adela Faustine, ambazo zilichukuliwa na mfanyabiashara Isack Nyamhanga wa Chato, ambaye alimkopesha mwalimu huyo kiasi cha laki saba na kumlazimisha kurejesha Mil 7.
Tags
BREAKING NEWS