Mgombea Ubunge Viti Maalum Mkoa wa Dodoma (CCM), Mariam Ditopile akiwa amesimamisha msafara wake eneo la Msazuje wilayani Chemba ili kumsaidia kutengeneza gari lake mgombea ubunge wa Jimbo la Chemba kupitia CUF, Tanzilu Isema. Ditopile alikuwa kwenye kampeni wilayani Chemba.
Tags
UCHAGUZI