Rais Dkt. John Magufuli amemjulia hali Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyepata ajali ya gari jana mkoani Kigoma. Dkt. Magufuli amemuombea heri apone haraka na pia amewashukuru madaktari na wauguzi wa Kituo cha Afya cha Kalya na Hospitali ya Maweni kwa matibabu waliyompa.
Tags
BREAKING NEWS