Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (Tplboard) imefanya mabadiliko katika mchezo Na. 61 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania msimu wa 2020/2021 kati ya Yanga Sc na Simba Sc uliokuwa uchezwe Oktoba 18.Sasa utachezwa Novemba 7, 2020 saa 11:00 jioni, Uwanja wa Benjamin Mkapa, DSM.
Tags
SPORTS