Mchungaji wa Kanisa la Maombezi GRC la jijini Dar es Salaam, Antony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako, amemtabiri Rais ajaye kuwa anasifa za kuwajali wananchi wake na kusema ni yule aliyejali maisha ya Watanzania kipindi cha Corona.
Tags
UCHAGUZI