RAIS MAGUFULI AMPOKEA RAIS CHAKWERA NCHINI

Rais wa Malawi Dkt Lazarus Chakwera tayari amekwishawasili nchini, ambapo amepokelewa na mwenyeji wake John Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam.




Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form