MTOTO AMUUA MAMA AKE GEITA

Witness Zacharia (50), aliyekuwa mkazi wa mtaa wa Elimu, Kata ya Nyankumbu mkoani Geita, ameuawa kwa kukatwa na mapanga siku ya jana Oktoba 6, 2020, na mtoto wake wa kambo anayeitwa Visiconsela Mengane (30) kwa tuhuma za kishirikina.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form