MLIPUKO WA TANKI LA MAFUTA WAUA WATU LEBANON

 Watu zaidi ya wanne wamefariki Dunia na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa kwenye mlipuko mwingine uliotokea jana Beirut,Lebanon baada ya tank la mafuta kulipuka, hii inakuja ikiwa imepita miezi miwili tangu Bandari ya Beirut ilipolipuka na kuua zaidi ya Watu 200. 




Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form