Uongozi wa Yanga umesema kuwa haujamleta Kocha Mrundi, Cedric Kaze kwa ajili ya kuifunga Simba pekee, bali ni kuipa mataji mawili wanayoyashindania msimu huu wa 2020/2021. Yanga SC juzi ilifikia makubaliano mazuri na Kaze aliyekuwa anafundisha Akademi ya Barcelona nchini Hispania
Tags
SPORTS