Nurses and midwives in the country have been asked to refrain from giving inappropriate language to patients and as doing so is contrary to the values and norms of the profession. This was stated by the Director of Nursing and Midwifery Services from the Ministry of Health, Ziada Sellah.
------------------------------------------------------------------------------
Wauguzi na wakunga nchini wametakiwa kuepuka kutoa lugha zisizofaa kwa wagonjwa na kwani kwa kufanya hivyo ni kinyume na maadili na miiko ya taaluma hiyo. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa huduma za uuguzi na ukunga kutoka Wizara ya Afya, Ziada Sellah.
Tags
BREAKING NEWS