Former Azam FC goalkeeper Razak Abalora has signed a three-year contract with Ghana's Asante Kotoko. Razak's ability [24], is widely believed in his homeland, and kotoko did not hesitate to show interest after discovering he is a free agent.
And recently the star has been called up to the Ghana national team squad and managed to play in one of the friendly matches with the first team.
___________________________________________
Aliyekuwa Golikipa wa Azam FC Razak Abalora, amesaini kandarasi ya miaka mitatu na Asante Kotoko ya nchini kwao Ghana . Uwezo wa Razak [24], unaaminika sana nchini kwao, Na kotoko hawakusita kuonesha nia baada ya kugundua ni mchezaji huru.
Na hivi karibuni nyota huyo ameweza kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ghana na kuweza kucheza katika moja ya mchezo wa kirafiki na kikosi cha kwanza.