WANAO HITIMU MAFUNZO YA MGAMBO WATAKIWA KULINDA MIPAKA YA NCHI

Vijana wanaopatiwa mafunzo ya mgambo wametakiwa kuwa walinzi wa mipaka ya nchi na kutoruhusu wahamiaji haramu kuingia. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Bukoba, Deodatus Kinawilo wakati wa kufungua mafunzo ya mgambo kwa vijana 132 wa kata ya Nyakibimbili.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form