RWANDA YARUHUSU KILIMO CHA BANGI

Rwanda imeidhinisha kulima bangi na kuisafirisha nje ya nchi, lakini matumizi yake ndani ya nchi yameendelea kupigwa marufuku. Serikali ya nchi hiyo inakusudia kuongeza mapato kutoka kwenye soko la dunia la bidhaa hiyo lenye thamani ya $345 bilioni (TZS trilioni 800).



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form