Rais wa TFF, Wallace Karia ameunda kamati ya ushindi ya timu ya Taifa (Taifa Stars) itakayoongozwa na Ghalid Said ambapo miongoni mwa wajumbe ni Haji Manara na Beatrice Singano. Tanzania itaikabili Tunisia katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON mwaka 2021 utakaochezwa Tunisia.
Tags
SPORTS