RAIS MAGUFULI KUPOKEA GAWIO LA BILIONI 100

RAIS wa Jamuhuri ya Muunguno wa Tanzania John Magufuli hii leo anatarajiwa kupokea gawio la Sh Bilion 100 kutoka Kampuni ya Madini ya Twiga inayomilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Barrick Gold Mine na Serikali ya Tanzania.


Kwa mujibu wa taaarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Kurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Gerson Msigwa imebainisha kuwa tukio hilo litaanza saa 8 kamili mchana katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form