Rais Dkt. John Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa inayoeleza kuwa serikali imefuta mafunzo ya ualimu wa shule za msingi na awali kwa ngazi ya cheti na kuwa mafunzo yataanzia diploma. Rais amesema tangazo hilo ni la kipumbavu na kwamba ataendelea kuwa pamoja na walimu wote.
Tags
BREAKING NEWS