RAIS MAGUFULI AMPATIA ZAWADI YA MRIMA KILIMANJARO RAIS CHAKWERA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba 2020.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba 2020.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form