Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro Amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa akiendelea na matibabu.
Tags
BREAKING NEWS