Mwanariadha wa Kenya Brigid Kosgei amefanikiwa kushinda mbio za London marathon upande wa Wanawake kwa kukimbia kwa muda wa saa 2:18:58 huku Sara Hall akimaliza wa pili na Mkenya mwingine Ruth Chepngetich akimaliza wa tatu.
Tags
SPORTS