Nachinachi Zoulikha anayedaiwa kuwa ni mtoto wa Rais Mstaafu wa Algeria amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela kwa makosa ya utakatishaji fedha, wizi wa fedha za umma na kusafirisha fedha nje ya nchi kinyume cha sheria. Zoulikha amekana kuwa na uhusiano wa kifamilia na Rais huyo.
Tags
BREAKING NEWS