Magari mawili yaliyopata ajali kwenye msafara wa Zitto Kabwe hii leo. Gari moja lilikuwa likitumiwa na kiongozi huyo wa ACT Wazalendo, na gari la pili lilikuwa likitumiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, Said Bakema.
Tags
BREAKING NEWS